Hi everyone, welcome to my new YouTube Community. Now you can post on my channel too. To get started, tell me in a post what you'd like to see next on my channel. Visit my Community: youtube.com/@bongoupdatestz/community
Wengi wanajiuliza kwanini wachezaji wawili wapya wa Simba Babacar Sarr na Pa Omary Jobe wamenyoa rasta kwa wakati mmoja.
Jana picha kutoka mazoezi ya Simba yanayofanyika Mo Arena zilionekana picha za wawili hao wakiwa na mtindo wa nywele tofauti na jinsi watu walivyowazoea. Wachezaji hao ni maingizo mapya ya dirisha dogo msimu huu.
Jobe ambaye amecheza mechi tano mpaka sasa amefunga mabao mawili na asisti moja huku Sarr akifunga moja tu bila asisti.
Akizungumza na Mwanaspoti Sarr, alisema kunyoa hakuna maana yoyote ila ni maamuzi yake binafsi ya kutaka kubadilisha muonekano.
"Nimetaka kuwa tofauti na ninavyoonekana wala sio swala kubwa la kuwashangaza kwani lazima mtu abadilike badilike kidogo, pia niko huru sana na huu muonekano mpya."
Jobe alisema wameamua kubadilika yeye na Sarr kwa sababu wamekuwa marafiki kwa sasa hivyo ni makubaliano ya kawaida tu.
"Ulikuwa ni uamuzi wetu tu, tulifikiria kwenda saluni kujiweka sawa, tukaamua tuzinyoe kwa pamoja, hakuna ambaye ametushinikiza ni uamuzi wetu binafsi,"alisema Jobe.
Wawili hawa hawana historia ya kucheza pamoja kwenye timu yoyote zaidi ya Simba na huenda wakawa miongoni mwa wachezaji marafiki kama watadumu kwenye timu hiyo muda mrefu.
Katika chapisho lake la hivi punde kwenye ukurasa wake wa insta,Vera alisema kuwa hali yake si sawa huku akiomba msaada wa maombi kutoka kwa mashabiki wake.
“Sijiskii vizuri,nikumbukeni nyote katika maombi,” aliandika.
Vile vile alisema kuwa huenda akaondoka mitandaoni kwa muda mpaka pale atakapo pata nafuu.
“Nimekuwa nje ya mtandao na nitakuwa nje ya mitandao ya kijamii kwa muda hadi pale nitakapojiskia vizuri,nawapenda wote,”alieleza.
Imebainika kuwa JadonSancho amepewa zuio hilo hadi atakapomuomba radhi Kocha wake wa Manchester United, Erik ten Hag, hatua ambayo hajaitekeleza
Kinachoendelea ni kuwa Uongozi umemtaka Sancho afanye mazoezi na Wachezaji wa Kikosi cha Vijana cha timu hiyo kwenye Viwanja vyao vya Mazoezi vya Carrington
Bongo Updates
PROF. KABUDI WALIVYOPOKEA TAARIFA ZA UTEUZI WAKIWA NDANI YA TRENI
1 week ago | [YT] | 0
View 0 replies
Bongo Updates
Hi everyone, welcome to my new YouTube Community. Now you can post on my channel too. To get started, tell me in a post what you'd like to see next on my channel.
Visit my Community: youtube.com/@bongoupdatestz/community
1 week ago | [YT] | 0
View 0 replies
Bongo Updates
Manchester United Wameshinda mechi yao ya kwanza bila kocha Ten Hag 5-2
1 year ago | [YT] | 0
View 0 replies
Bongo Updates
Kikosi Cha timu ya Simba Sc dhidi ya Asec Mimosa
2 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Bongo Updates
Wengi wanajiuliza kwanini wachezaji wawili wapya wa Simba Babacar Sarr na Pa Omary Jobe wamenyoa rasta kwa wakati mmoja.
Jana picha kutoka mazoezi ya Simba yanayofanyika Mo Arena zilionekana picha za wawili hao wakiwa na mtindo wa nywele tofauti na jinsi watu walivyowazoea.
Wachezaji hao ni maingizo mapya ya dirisha dogo msimu huu.
Jobe ambaye amecheza mechi tano mpaka sasa amefunga mabao mawili na asisti moja huku Sarr akifunga moja tu bila asisti.
Akizungumza na Mwanaspoti Sarr, alisema kunyoa hakuna maana yoyote ila ni maamuzi yake binafsi ya kutaka kubadilisha muonekano.
"Nimetaka kuwa tofauti na ninavyoonekana wala sio swala kubwa la kuwashangaza kwani lazima mtu abadilike badilike kidogo, pia niko huru sana na huu muonekano mpya."
Jobe alisema wameamua kubadilika yeye na Sarr kwa sababu wamekuwa marafiki kwa sasa hivyo ni makubaliano ya kawaida tu.
"Ulikuwa ni uamuzi wetu tu, tulifikiria kwenda saluni kujiweka sawa, tukaamua tuzinyoe kwa pamoja, hakuna ambaye ametushinikiza ni uamuzi wetu binafsi,"alisema Jobe.
Wawili hawa hawana historia ya kucheza pamoja kwenye timu yoyote zaidi ya Simba na huenda wakawa miongoni mwa wachezaji marafiki kama watadumu kwenye timu hiyo muda mrefu.
2 years ago | [YT] | 1
View 0 replies
Bongo Updates
Katika chapisho lake la hivi punde kwenye ukurasa wake wa insta,Vera alisema kuwa hali yake si sawa huku akiomba msaada wa maombi kutoka kwa mashabiki wake.
“Sijiskii vizuri,nikumbukeni nyote katika maombi,” aliandika.
Vile vile alisema kuwa huenda akaondoka mitandaoni kwa muda mpaka pale atakapo pata nafuu.
“Nimekuwa nje ya mtandao na nitakuwa nje ya mitandao ya kijamii kwa muda hadi pale nitakapojiskia vizuri,nawapenda wote,”alieleza.
2 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Bongo Updates
Red au White Ipi Kali Zaidi
2 years ago | [YT] | 18
View 0 replies
Bongo Updates
Kikosi Cha Simba Sc Dhidi ya Coast Union. kiko Hapa
2 years ago | [YT] | 2
View 0 replies
Bongo Updates
Kikosi Cha Simba Sc Leo Dhidi ya Coast Union
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Bongo Updates
Imebainika kuwa JadonSancho amepewa zuio hilo hadi atakapomuomba radhi Kocha wake wa Manchester United, Erik ten Hag, hatua ambayo hajaitekeleza
Kinachoendelea ni kuwa Uongozi umemtaka Sancho afanye mazoezi na Wachezaji wa Kikosi cha Vijana cha timu hiyo kwenye Viwanja vyao vya Mazoezi vya Carrington
Soma jamii.app/SanchoBan
2 years ago | [YT] | 0
View 0 replies
Load more