Hapa unapata muhtasari wa filamu Kwa Kiswahili, ambapo tunachambua hadithi, wahusika, na matukio makuu kutoka kwa filamu maarufu. Ikiwa unapenda filamu na unataka kujifunza zaidi kuhusu hadithi zao, umefika mahali sahihi!
Tutaelezea kwa ufupi na kwa ufasaha filamu mbalimbali Kwa "kiswahili"

👉 Usisahau {KUSUBSCRIBE} na kubonyeza alama ya (KENGELE) 🛎
Asante kwa kutembelea UPEO CINEâ„¢

#FilamuZaKiswahili #Muhtasari #Upeocine


UPEO CINEâ„¢

JE, UNGEPENDA TUKULETEE MUHTASARI ZA MOVIE GANI ZAIDI?

10 months ago | [YT] | 19

UPEO CINEâ„¢

SUBSCRIBE!
ILI USIWEZE KUPITWA NA MAUDHUI YETU MAPYA.
youtube.com/@upeocine?si=xPnp1oW58TxPBKzy

1 year ago (edited) | [YT] | 12