Mimi naitwa bosto kutoka Tanzania ,Mimi ni Mhariri wa Michezo ya Simu Kama FTS, DLS na Zinginezo, Mda Wangu Wa Ziada Huwa Natengeneza Tovuti

Apa utaweza kupata video za michezo kama:
●FTS ZA AFRIKA
●DLS ZA AFRIKA

Subscribe Kwa Mchezo Zaidi


BOSDROID

Heri ya mwaka mpya✅️

Asante sana kwa support yako ya kipindi hichi tulicho maliza

Naamini tutakua na michezo mingine bora katika Channel hii

Endelea Kuwa nasi katika Jamii hii ya michezo

Asante.

4 months ago | [YT] | 10

BOSDROID

Asante sana kwa wale mnao endelea kutufuatilia mpaka tumefika 5k Subscribers

1 year ago (edited) | [YT] | 22

BOSDROID

Rasmi Tumeweza Kusasisha link ya Mchezo Huu ambao ulikuwa aufanyi kazi kwenye Android version 14 sasa unafanya kazi kwenye simu kuanza android version 4 hadi 14✅️

Pakua sasa👇
https://youtu.be/XxJ6AFUmrFU?si=WPOgI...

1 year ago (edited) | [YT] | 21

BOSDROID

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS NBC V2

Ambapo hadi sasa Tumeweza Kusasisha Vitu Kadhaa ambavyo atukuviweka Kwenye Toleo Letu la Kwanza la Mchezo

Hadi sasa Tumeweza Kusasisha Baadhi ya Viwanja vinavyo Tumika Kwenye Ligi ya NBC

Tumeweza Kusasisha baadhi ya Viwanja ambavyo tumeviweka kwenye picha hapo chini,Tumeweza Kusasisha Viwanja hivyo ili kuweza Kuleta Ualisia Kwenye Mchezo


Endelea kuwa na kwa taarifa zaidi Za michezo

1 year ago | [YT] | 16

BOSDROID

Bado Tunaendelea Kusasisha Mchezo Huu Wa FTS 25 NBC V2

Ambayo hadi sasa Tupo haraka Ili tuweze Kumaliza

Tumeweza Kuweka Jezi za timu pamoja Na Mpira unaotumika kwenye Ligi ya NBC

Tupo haraka ili tuweze Kukamilisha Mradi huu Wa FTS 25 NBC V2, hivi karibuni Tutaweza kutoa Video ya Treller au Video ya Maonyesho Ya Vitu ambavyo Tumekwisha Kuweka katika mchezo

Pia Usisahau Mchezo Huu Tutauleta Ukiwa na Wasimulizi Yaani Watangazaji wakiwa wanatangaza kwa Lugha Ya Kiswahili

Endelea Kuwa nasi Kwa Taarifa Zaidi za mchezo

1 year ago (edited) | [YT] | 16

BOSDROID

RASMI Tumeanza Mradi Mpya Wa FTS 25 NBC V2

Tumeanza kusasisha Vikosi pamoja na Wasimulizi Yaani Watangazaji

Bado tunaendelea na Kusasisha Vitu Kadhaa ambavyo atukuviweka Kwenye Toleo Letu la Kwanza la Mchezo

Hivi karibuni Tutachapisha Video Ya Pale Tulipo Fikia kwa watangazaji

Endelea kuwa nasi kwa Taarifa Zaidi za mchezo

1 year ago | [YT] | 21

BOSDROID

لقد بدأنا عمليتك لتحديث تشكيلات فرق الدوري المصري كما اقترحت

1 year ago | [YT] | 17

BOSDROID

we keep updating new FTS Project
Follow us ON FACEBOOK 👇
www.facebook.com/profile.php?id=61555145954506

1 year ago (edited) | [YT] | 20

BOSDROID

We have started updating the new FTS25 BETWAY PREMIERSHIP Game ✅️


We have updated Squads, League Teams, Final Fixtures, Stadiums and Season 2024/2025

Trailer is coming soon

I have collaborated with ‪@tonygamingtz‬

1 year ago | [YT] | 13

BOSDROID

bostogames.github.io/fts/index_P.html

Tumia tovuti hii kubadilisha majina , utaifa, uwezo, na mambo mengine kwa mchezaji

1 year ago | [YT] | 12