MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

Karibu katika chaneli yako pendwa MELO SUPER MEDIA SAFARI ambapo tunakuletea kila inayoitwa SAFARI bila kujali ni katika:
- Siasa
- Uchumi
- Maendeleo
- Malezi &Makuzi
- Habari &Uchambuzi
- Maarifa na taarifa adhimu
- Fursa kibao kwa ajili ya mafanikio


MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

Kwanza naomba kuuliza "hivi nje na wafanyakazi wa TRA, kada gani huvaa vitambulisho ili mtoa fedha asiwe na shaka ya kutapeliwa?"

Anyway, asante sana Kaimu Meneja wa mkoa wa kodi Iringa Preter Jackson, hii ni heshima kubwa ulionionyesha, get ready nami nitafanya surprise hivi karibuni.

#melosuper #melosupernews #mwlmeshacklongo

1 year ago | [YT] | 0

MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Kheri James amefanya mazungumzo na mkurugenzi wa utafiti, sera na mipango ya mamlaka ya mapato Tanzania na kuipongeza mamlaka hiyo kukusanya mapato zaidi ya asilimia zilizowekwa.

Aidha ameahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa mamlaka hiyo katika kuhamasisha wananchi kuendelea kulipa kodi na kudai risiti kila wanapofanya manunuzi.

Ikumbukwe kuwa mamlaka ya mapato Tanzania imepanga kukusanya tilioni 3.6 zaidi ya tilioni tatu zilizokusanywa katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.

#melosupernews #supernews #tra #dc #iringa

1 year ago | [YT] | 0

MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Iringa, imezindua wiki ya huduma kwa wateja inayolenga kutoa elimu na kutatua changamoto zinazowakabili walipa kodi nchini.

Akizindua huduma hiyo, kamishna wa TRA Yusuph Mwenda, amesema kuwa mkoa wa Iringa umekuwa ukifanya vizuri kwenye ukusanyaji wa mapato kutokana na ushirikiano mzuri baina ya walipa kodi na mamlaka hiyo.

Aidha, Kamisha Mwenda amewataka walipa kodi kuendelea kudumisha uhusiano huo kwa lengo la kuongeza mapato yatakayochangia maendeleo ya Taifa.

Kwa upande wao baadhi ya wafanyabiashara, wameipongeza Mamlaka ya mapato Tanzania na kuomba kuondolewa na kupunguziwa baadhi ya kodi na mageti ya ukaguzi yanayotajwa kuwa kero kwao.

Hata hivyo, akijibu suala hilo Kamishna Mwenda, amewataka wafanyabiashara kuwa na subira, akiahidi kufanyia kazi changamoto hizo ili kukuza na kuendeleza biashara.

#melosuper #melosupernews #supernews #tra #wafanyabiashara #iringa

1 year ago | [YT] | 1

MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

Kituo kinachofuata ni Kuchuana dhidi ya DRC Congo

1 year ago | [YT] | 0

MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

FULL TIME; 🇹🇿 2: 1🇬🇳
Katika hali iliyotabiriwa na wengi Timu ya Taifa Stars ya Tanzania imepindua meza kwa ushindi wa mabao mawili dhidi ya goli moja la Timu ya Taifa ya Guinea
@feitoto_6 alianza kuleta matumaini kwa shuti la mbaaali lililomfunga mdomo goal keeper
@mudathir_yahya27 naye akaamua kupandisha timu ili kushambulia karibu na lango la mpinzani na hatimaye #simu #ikaita
✍️🏻Furaha na shangwe za Watanzania ni kwamba Taifa linashika nafasi ya pili kubabe
Wewe unaonaje hasa kwa kuangalia mechi inayofuata dhidi ya #drcongo
www.instagram.com/p/C_vyBzouza_/?igsh=MTg0dnRhZzJ6…

1 year ago | [YT] | 2

MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

FULL TIME: TAIFA STARS 🇹🇿 [0]:[0] ETHIOPIA 🇪🇹
✍️Kipindi cha kwanza Taifa Stars wametumia zaidi Defensive technique kuhakikisha nyavu zinakuwa salama
✍️Mfumo huo umepelekea kumiliki mpira kwa asilimia 43
✍️Katika kipindi cha pili; maingizo mapya ya mchezaji kama @mudathir_yahya27 na @pascalmsindo yameonekana kuongeza kasi ya mashambulizi hasa kutokea pembeni mwa uwanja
✍️Kituo kinachofuata ni kuchuana na Guinea 🇬🇳 Sept 10,2025
🫵🏿Wewe una maoni gani katika mechi hii na ijayo?

1 year ago | [YT] | 1

MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

Katibu Mtendaji wa Kikundi cha 'MASHUJAA WA KIZAZI KIPYA" @the_new_generation_heroes Mh. Meshack Richard Longo @mwl_meshack_longo a.ka "MSEMAJI WA MTOTO" akifundisha somo la Malezi kwa wanafunzi wa shule ya msingi #kihesa mkoani Iringa.
- Kanuni ni moja tu #KUSOSA akimaanisha kuwa mtoto ana haki na wajibu wa:
1. Kula sana
2. Kusoma sana
3. Kusali/kuswali sana

1 year ago | [YT] | 4

MELO SUPER MEDIA SAFARI (mSmS)

...My Golden Birthday is loading...
Jumapili ya Aprili 21 ni siku yangu na nimejiandaa kusherehekea pamoja nawe tena kwa namna ya kipekee,
hivyo naendelea kumwuliza Mungu kwamba tukio liweje!
nitakurejea siku yoyote katika wiki hii hapahapa ili kukupa utaratibu wa namna ya kushiriki tukio hili muhimu.
Asante ni mimi wako @melo_super (Mwl Meshack Longo)
#wewe ni familia, ndugu, rafiki na jamaa yangu. #friendship #followers #everyone
#SafariMojaHuanzishaNyingine...

1 year ago (edited) | [YT] | 1