Mlimani kids is a special channel designed to suite all people around the world through it's various programs and classes
The channel also offers programs,live chats ,live streams through it's content so as to be entertained and learn
We only need your support by clicking subscribe button and follow us through other platforms such as facebook @mlimanisdachildren'sTanzania


MLIMANI KIDS TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸŒ„ KAMBI LA MLIMANI 2025 🌟
"Nitakwenda nikimtumaini Yesu"

⛰️ Kambi la Mlimani 2025 si tukio tu, ni mwaliko wa kupanda juu kiroho, kiakili, na kijamii.

πŸ—“οΈ Tarehe: 23/08/2025πŸ“ Mahali: Kanisa la waadventista wa sabato MlimaniπŸ‘₯ Waalikwa: Watu wote

Katika siku hizi za kambi, utapata:

πŸ”₯ Mafundisho ya kina na watumishi wa Mungu

🎢 Utabarikiwa na Uimbaji

🀝 Urafiki mpya na mitandao ya huduma

🧭 Semina za uongozi, ubunifu, na huduma

🌌 Maombi ya usiku, tafakari, na safari ya kiroho

πŸ“£ JIUNGE NA HARAKATI!
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kupaa juu kama tai! Tayarisha moyo wako, funga viatu vyako, na jiandae kwa mabadiliko ya kweli.

πŸ”— Youtube Live πŸ“ž Kwa maelezo zaidi tembelea instagram yetu @mlimani_sda_church_tanzania
#mlimani #mlimanisdachurch #mlimanikidstz #makambimlimani #makambi #makambi2025 #nitakwendanikimtumainiyesu #nitakwenda

4 months ago | [YT] | 1

MLIMANI KIDS TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Tunatambulisha rasmi ujio wa EP mpya inayobeba uzito wa historia, imani, na sauti ya ibada: 𝒁𝑨𝑴𝑨.

Ni mkusanyiko wa nyimbo zinazotufundisha kutazama nyumaβ€”kwenye mizizi ya ibada ya kweli, na kutafakari namna Mungu alivyokuwa akiabudiwa kwa moyo wa unyenyekevu.

🎢 Wimbo huu ni utangulizi unafungua mlango wa safari ya 𝒁𝑨𝑴𝑨 kwa sauti ya utulivu, tafakari, na heshima.

UNGANA NASI Hii ni hatua ya kwanza tu. EP 𝒁𝑨𝑴𝑨 inakuja na nyimbo nyingine zenye ujumbe mzito na sauti ya kipekee. Fuatilia kurasa zetu kwa taarifa zaidi

Nyimbo zetu zitapatikana Audiomack,Itunes,Apple music,Boomplay, Spotify, Deezer

#pfcmlimani #zama #epzama #pfczama #pfc #mlimanisdachurchtanzania #mlimani #sda #nyimbo #nyimbompya #sda

5 months ago | [YT] | 1

MLIMANI KIDS TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

ZIMEBAKI SIKU 4 KUELEKEA SIKU YA WAVUMBUZI DUNIANI

8 months ago | [YT] | 1

MLIMANI KIDS TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Sabato Maalumu ya Wavumbuzi Ulimwenguni πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Upo tayari kusafri kwa imani.?

Jiunge nasi mbashara Youtube channel #mlimanikidstz na #mlimanisdachurchtanzania

#MLIMANI #mlimani #mlimanisda #mlimanisdachoir#nyimbozamlimani #mlimanisdachurch #wavumbuzi #sikuyawavumbzi #acday25 #adventurers #acday2025 #GYD

8 months ago | [YT] | 2

MLIMANI KIDS TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Sabato ya Tarehe 25 Jan,2025 tutakuwa na sabato ya kipekee ya vijana ! Sabato ya uvishwaji ! Karibu katika sabato hii !!! USIKOSE

11 months ago | [YT] | 3