Digarts Media Hub

πŸŽ₯ Welcome to DigArts Media Hub!
We are your go-to platform for sports and entertainment updates from Tanzania and across the globe. Here, you’ll find:

⚽ Live coverage of major sports events
🎢 Global entertainment news & highlights
🎬 Exclusive opinions, analysis & interviews
🌍 A worldwide perspective with roots in Tanzania

We take pride in connecting you with the dynamic world of sports and entertainment in a creative, exciting, and engaging way.

πŸ‘‰ Subscribe now and never miss out on the global moments shaping sports and entertainment every day!


DigArts Media Hub

Klabu ya Simba imemtangaza Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Hemed Suleiman maarufu kwa jina la Morocco kuwa Kocha wa muda wa Timu hiyo kwenye mechi za Kimataifa baada ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo Fadlu Davids kusitisha mkataba wake huku Kocha Selemani Matola akikosa sifa za kukaa benchi kutokana na kadi nyekundu.
Simba imethibitisha kuwa imepata kibali rasmi kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumruhusu Kocha Morocco kujiunga na Benchi la ufundi kwa muda wakati huu ambao Klabu ya Simba SC inakamilisha mchakato wa kumpata Kocha wa kudumu.
Morocco ataiongoza Simba katika mchezo muhimu wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United FC utakaopigwa Septemba 28, 2025.
#DigArtsUpdates #simbasc #sokakitaifa #NBCPremierLeague #ligikuutanzaniabara

3 months ago | [YT] | 4

DigArts Media Hub

BALLON D'OR AWARDS 2025 - YASHIN TROPHY 🧀

Gianluigi Donnaruma amefanikiwa kutwaa tuzo ya golikipa bora 'Yashin Trophy'
#digartsupdates #BallondOr #sokakimataifa

3 months ago | [YT] | 3

DigArts Media Hub

Staa wa Timu ya Taifa ya Ufaransa na Klabu ya PSG Ousmane Dembele ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia ya Ballon d’Or 2025 baada ya kuwa na msimu wa mafanikio ambapo ndani ya mwaka 2025 amefanikiwa kutwaa Mataji kadhaa yakiwemo ya Ubingwa wa Ligue1, UEFA Champions League na UEFA Super Cup. #DigArtsUpdates #BallondOr #sokakimataifa

3 months ago (edited) | [YT] | 4

DigArts Media Hub

KAMATI YA UFUNDI #SIMBASC πŸ˜‚ #TUNAPIGA #KICHWANI

4 months ago | [YT] | 25