BUSATI PLUS ni nyumbani ya burudani halisi kwa wapenzi wa tamthilia za Kibongo zenye hisia, mapenzi, drama na maisha halisi ya kila siku. Hapa ndipo unapokutana na simulizi zinazogusa moyo, zinazofundisha na kukuacha ukisubiri kinachofuata kwa hamu.

Kupitia tamthilia kama House of Love na nyingine nyingi zijazo, tunakupeleka ndani kabisa ya maisha ya wahusika β€” penzi, usaliti, migogoro ya kifamilia na changamoto za kijamii. Kila episode ina ujumbe, kila tukio lina funzo.

Kama unapenda hadithi zenye mvuto, zinazokufanya ucheke, ulie na kufikiria β€” basi upo mahali sahihi.

πŸ”” Subscribe sasa usikose episode mpya
πŸ“Ί Tunapost mara kwa mara β€” stay connected
πŸ”₯ Busati Plus – Hadithi zinazoishi


BUSATI PLUS

TANZIA πŸ•ŠοΈπŸ’”

Kwa masikitiko makubwa, BUSATI TV inawatangazia ndugu, jamaa, marafiki na wadau wote kuwa tumepatwa na msiba mzito wa kumpoteza Mzee Mtauka, ambaye alikuwa msanii wetu na pia ni baba halisi wa Mr Tasha.

Mzee Mtauka pia alishiriki katika tamthilia ya House Girl, ambapo alicheza nafasi ya Mzee Mkoloni, baba yake Zatity. Mchango wake katika sanaa na kumbukumbu alizotuachia kupitia kazi zake utaendelea kuishi mioyoni mwetu.

Msiba upo Kibaha, Mfipa, katika eneo linaloitwa Galagaza.

Mazishi yatafanyika leo saa 10:00 alasiri.

Tunaungana na familia, ndugu, jamaa, marafiki na wadau wote katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAJI'UN πŸ€²πŸΎπŸ’”

Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina. πŸ•ŠοΈ

1 week ago | [YT] | 217

BUSATI PLUS

HOUSE OF LOVE EPISODE 55

1 month ago | [YT] | 200

BUSATI PLUS

WHO AM I EP 22 πŸ‘‡πŸ‘‡
https://youtu.be/9pWvsJ5Q3RA?si=WLj90...

1 month ago (edited) | [YT] | 172

BUSATI PLUS

WHO AM I EPISODE 19 πŸ‘‡πŸ‘‡
https://youtu.be/7PjzkWD5TF4

1 month ago | [YT] | 196

BUSATI PLUS

Ungependa kumuona katika House of Love?
https://youtu.be/KVWgjoAAIrM

2 months ago | [YT] | 182