My name is Joan Thomas, fitness and wellness ambassador.
This channel is special for nutritional and fitness tips, organized and well presented workouts starting from April of 2019.
For fitness programs contact us via whatsApp 0683836293 or DM @Joanfitness_
Email: thomjoanherman@gmail.com


Joan Fitness

Habari Njema! Kwa sasa unaweza kujibu Maswali machache tu upate diet plan yenye vipimo vyako kupunguza uzito au kitambi kwa haraka!
👉tally.so/r/npax9E

4 months ago | [YT] | 2

Joan Fitness

Hiki ni chakula kizuri sana kubadili jinsi unavyojiskia hususani ukila kama mlo wako wa kwanza wa siku (breakfast), oatmeal hufanya mtu ahisi mwenye nguvu mara tu baada ya kula, mwili unakuwa relaxed na hisia za kushiba hata kwa mlo kidogo tu, maziwa, peanutbutter, ndizi mbivu au matunda mengine uongezapo katika mlo huu huongeza ladha na ubora maradufu. Mlo huu unafaa rika zote kwa kusheheni kwake virutubisho na madini ambavyo kila mmoja wetu anahitaji. Haijalishi lengo lako ni lipi kiafya mlo huu ni kwa malengo yote isipokuwa kila mtu atabadili kiasi kulingana na mahitaji yake 🥰

11 months ago | [YT] | 11

Joan Fitness

Umeshawahi kuhisi kizunguzungu au maumivu ya kichwa ukiwa kwenye diet ya kupunguza mwili?

11 months ago | [YT] | 5

Joan Fitness

Majani yanayotumika zaidi katika detox

1 year ago | [YT] | 5

Joan Fitness

https://youtu.be/XP3P4JO-7xs?si=29bpN... video mpya ya mazoezi kupunguza mwili wa juu 🔥🔥

1 year ago | [YT] | 7

Joan Fitness

kupunguza uzito na nyama zilizolegea mwili mzima
https://youtu.be/chVFMXsh57k

1 year ago | [YT] | 2

Joan Fitness

https://youtu.be/EegGkLBfNEk?si=R1ShL... asubuhi yangu imebadilishwa sana na mtoto, angalia video hii, Je wewe kama mama unafanikiwa kupata muda kwa ajili yako?

1 year ago | [YT] | 19

Joan Fitness

Wapendwa wangu, subscribers wa Joan Fitness TV mmejipanga kwa mazoezi vyema? Haya mie nimefunga mwaka 2023 na mwili wangu wa kimama ndo huo 😂 Tupo huru kuanza kuongeza sasa, fuatisha mazoezi niliyoyafanya baada ya kujifungua kama na wewe hupendi manyama uzembe kama mimi 🔥🔥

2 years ago | [YT] | 48

Joan Fitness

Kati ya tango na parachichi kipi ambacho hata ukila sana sio rahisi kuongezeka uzito

2 years ago | [YT] | 7