Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili


Je Unataka kuujua ulimwengu wa filamu vizuri? Karibu ndani ya Vibanda Umiza
Watsapp: chat.whatsapp.com/Ho1yoytmHa2HXURkPEMTZl



Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

MCHIZI KATIKA KISASI AU WIVU ?? Stori ya Dr. Doom Kiundani Zaidi - Avengers: Doomsday Special Looks #vibandaumiza #swahilirecaps #drdoom
Angalia Hapa: https://www.youtube.com/watch?v=gDwuE...

4 days ago | [YT] | 11

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

MDADA CHAPOMBE MWENYE UWEZO WA KUPAA - NINI KILIMKUTA ? Supergirl (2026) Review #vibandaumiza #swahilirecaps #DC #supergirl
Angalia Hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=qtJAP...

1 week ago | [YT] | 11

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

Spiderman 2026 MTAZAMO WA KWANZA - NON SPOILER, STORY, KUJITAMBUA, MABADIRIKO #vibandaumiza #spidermanbravenewday
Angalia Hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=PxizR...


#e7bits

3 weeks ago | [YT] | 19

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

AIDHARAU MIUNGU YA KIGIRIKI AINGIA KUZIMU NA KUPATA MAJIBU YAKE - The Odyssey (1997) Review in Swahili
Angalia Hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=-XoE_...

1 month ago (edited) | [YT] | 12

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

BINTI FATIMA SHUJAA WA WATU WA GAMBOSHI - From SO4E07 Review in Swahili #from #gamboshi #fatima
Angalia Hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=ig0te...

1 month ago | [YT] | 10

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

KULIKONI? MTU PEKEE ALIYETOKA NJE NA KUFANIKIWA KURUDI AKIWA MZIMA - Silo S03E01 - Review in Swahili
Angalia Hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=fa-Ex...

1 month ago (edited) | [YT] | 13

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

ATOKA KUZIMU KWA AJILI YA KULIPIZA KISASI ... STORI YA SCORPION NA SUB-ZERO - Mortal Kombat (2021)
#mortalkombat1 #vibandaumiza #movieinswahili #swahilirecap
Angalia Hapa:
https://www.youtube.com/watch?v=6SK2a...

1 month ago (edited) | [YT] | 13

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

Review ya Masters of Universe (2026):

Anaglia Hapa : https://www.youtube.com/watch?v=VUCVW...

1 month ago | [YT] | 14

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

Kuna TV show tatu nina mpango wa kuzifanyia kazi episode zote , mpya na kama pia kuna viporo. Tuanze na ipi kati ya hizi tatu? Kabla hatujamalizia Kiporo cha Dune Part 2 na Dune Prophecy wiki ijayo.
Majibu nitayachukua ndani ya masaa 24 kuanzia sasa. TV show yenye majibu mengi ndiyo nitakayoanza nayo..

1 year ago | [YT] | 15

Vibanda Umiza : Movie Reviews in Swahili

Unaangaliza Mzigo Gani Leo Kabla Ya Weekend? Binafsi Nairudia Spider-man Into Spider-Verse (2018) Kabla Ya Spider-man Across The Spider-Verse (2023).....Tukutane Kesho Kwenye Review Kabla Ya Kuendelea na Ulimwengu Wa John Wick... #vibandaumiza #spidermanintospiderverse #milesmorales

3 years ago | [YT] | 14