channel hii inahusu maswala ya teknolojia, kilimo, ufugaji, na njia bora zinazotumika shambani ikiwemo mifumo ya umwagiliaji drip irrigation, sprinkler irrigation system, flood irrigation system, mashine na zana bora za kilimo, elimu kuhusu pump mbalimbali za maji na umwagiliaji
Pia katika channel hii tutaonyesha video zinazohusisha teknolojia mbalimbali za uzalishaji wa nishati ikiwemo solar panels, betri na mengineyo yahusuyo sayansi na teknolojia
Vile vile tutakuwa tunatangaza na kuuza bidhaa mbalimbali zinazohusihana na maswala ya kilimo, ufugaji, sayansi na teknolojia na mengineyo
Channel hii haihusiki na kutoa habari zozote zile zinahusu siasa, michezo,wasanii, udaku, na nyingine zisizohusiana na lengo tajwa hapo mwanzo juu
Kwa mawasiliano zaidi unaweza kututafuta Whatsapp +255620354579 kwa ajili ya maswali au ushauri pamoja na kujionea bidhaa mbalimbali za kilimo pia waweza kupiga simu nambari 0620354579/ 0757420879
Email farmmushi@gmail.com
SUBSCRIBE
Instagram Mushifarm
Kilimo Maarifa Tv
Nimekuwa kimya Kwa muda mrefu sasa. Naandaa vipindi vingine msiwe na wasiwasi fanya kusubscribe na kugusa alama ya kengele Maarifa mengine yanakuja
3 years ago | [YT] | 0
View 0 replies