Kilimo TV ni chombo cha Mawasiliano kwa Umma cha Wizara ya Kilimo. Lengo ni kuelimisha, kuburudisha na kutoa taarifa kwa jamii na wadau wa Kilimo kuhusu shughuli na mafanikio mbalimbali ya Sekta ya Kilimo.