Dinah poultry farm

🔥Dina poultry farm ni channel iliojikita kwenye kilimo na ufugaji wa kuku wa nyama na mayai

🔥uuzaji wa bidhaa za ufugaji kama vile
❤️vifaranga wa siku 1-30
❤️mayai ya kula na kutotolesha
❤️kuku wa nyama na mbegu


🔥darasa ni kila siku za j3,j5, ijumaa jmosi na juma pili

🔥kwa huduma za haraka tuma sms whatsapp no +255765044786